About

About
Hii ni tovuti ya kitanzania inayoendeshea shughuli zake nchini Tanzania chini ya usimamizi wa NGOMBOZI MEDIA COMPANY . Tovuti hii inakupa fursa ya kujua na kupakua nyimbo mpya na za zamani za Bongo flava, India, pamoja na Filamu . Yapo mengi kuhusu burudani kwa ujumla utakapotembelea www.ngombozi.com . Haiishii hapo tovuti hii kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio inazidi kuboresha huduma zake na kuzisogeza karibu. Imani ya wengi inawapelekea kuamini kuwa umakini unaoonyesha hivi sasa na timu ya usimamizi wa tovuti hii utaifanya izidi kuwa maarufu huku ikisogeza huduma karibu na wateja hasa wapenda burudani ya muziki wanaopendelea sana matumizi ya mtandao. Kwa ufupi kabisa hiyo ndiyo Ngombozi media Tovuti ya muziki inayoendeshea huduma zake nchini Tanzania.

Wizkid amerudi kwa staili ya aina yake, aachia nyimbo mbili kwa wakati mmoja

Wizkid amerudi kwa staili ya aina yake, aachia nyimbo mbili kwa wakati mmoja
Share it:

Msanii kutoka Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid ameachia audio za nyimbo mbili ambazo zinakwenda kwa Fever na Master Groove, Licha kuonekana kuwa kimya kidogo  kutoa nyimbo zake mwenyewe ingawa anaendelea kushirikishwa na wasanii mbalimbali kutoka katika lebo yake ya Star boy pia hata nje ya lebo hiyo wengine wakitoka hapo hapo Nigeria lakini pia wengine wakitoka nje ya nchi hiyo,Msanii Wizkid jana usiku amefanikiwa kuachia audio za nyimbo zake mbili ambazo ni “FEVER” pamoja na MASTER GROOVE”


“FEVER”

“MASTER GROOVE”


Kwa habari kama hizi hakikisha unakaa nasi kupitia mitandao yetu ya kijamii NGOMBOZI MEDIA
Share it:

Habarizamastaa

Post A Comment:

0 comments: