Breaking News

Matokeo Ya Simba Sc Dhidi Ya Azam Fc Leo Dec 07

Matokeo Ya Simba Sc Dhidi Ya Azam Fc Leo Dec 07

Klabu ya Simba sc imepoteza mchezo wao mwingine kwa kufungwa bao 2-0 dhidi ya Azam fc kwenye dabi ya mzizima katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo December 07,2025.

Magoli ya Azam yamefungwa na kitambala pamoja na Iddy Nado na Moja ya vitu vya kuvutia kwa klabu ya Azam ni kwamba Assist zote zimetolewa na Super sub Nassor Saadun.

No comments