Najua Haulijui Hili La Marehemu Steven Kanumba na Diamond Platnumz
Imeelezwa kuwa kwenye filamu ya Marehemu Steven Kanumba "Devil Kingdom" ile nafasi ya kajala ilibidi acheze wema sepetu lakini diamondplatnumz alimzuia Wema kuigiza kwenye hiyo filamu.....
Utakumbuka wakati ule Diamond Platnumz alikuwa kwenye mahusiano ya kiMapenzi na Wema sepetu.

No comments